Ingia / Jisajili

Elgious Xavery Mwanisawa

Mfahamu Elgious Xavery Mwanisawa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dodoma Parokia ya Nkuhungu

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dodoma

Parokia anayofanya utume: Nkuhungu

Namba ya simu: 0627 847 660

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Jina: Elgious Xavery Mwanisawa  alizaliwa  16 February 1974 huko Sumbawanga.  Elimu ya musiki niliipata Tabora Boys Sec School kisha kujiendeleza mwenyewe. Amewahi kuhudumu kama mwalimu wa kwaya Kizuka - Ngerengere, vingunguti, Mwenge - DSM na Kifuru - Kinyerezi.