Mtunzi: George Ngwagu
> Mfahamu Zaidi George Ngwagu
> Tazama Nyimbo nyingine za George Ngwagu
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: GEORGE NGWAGU
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 14
Download Nota Download MidiNajaribu kufikiri ndani ya Moyo wangu Nikupe nini ewe Mungu wangu kikupendeze Kwawema wako ee Mungu unao nijalia nikupe nini kiendane nawema wako Mungu naja kwako Mungu wangu kukutolea nafsiyangu Baba pokea.