Mtunzi: Peter Masika
> Mfahamu Zaidi Peter Masika
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Masika
Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: Peter Masika
Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 27
Download Nota Download MidiMoyo mt. wa Yesu
(Moyo mtakatifu moyo wa yesu ,tunakutumainia)x2
1.Moyo mtakatifu,moyo wake yesu utujaalie furaha.
2.Moyo waupendo, moyo wahuruma utuzidishie mapendo.
3.Moyo ulojaa, neema ya kweli utujaalie amani.