Mfahamu Peter Masika, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Nairobi Parokia ya Vincenti palloti dagortti
Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Nairobi
Parokia anayofanya utume: Vincenti palloti dagortti
Namba ya simu: +254742520578
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
PETER MASIKA
Alialiwa tarehe 1 mwezi wa3 mwaka wa 2005 webuye nchini kenya.
kutokana na mapenzi yake kwenye mziki ,,alipata elimu ya mziki kwa ujumla ,shule ya sekondary na pia vyuo vya ziada.
ameweza kushiriki katika tamasha nyingi za mziki ,,kama vocalist,mpiga kinanda , mwalimu wa mziki ,ambazo zimechangia yeye kuanza kutunga nyimbo.