Ingia / Jisajili

Mimi Ni Wa Kwanza Na Wa Mwisho

Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Faustini Mganuka

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio.

Mimi ni wa kwanza na wa mwisho na aliye hai nami nalikuwa nimekufa na sasa ni hai hata milele na milele Aleluya.

Shairi.

Basi uyaandike mambo hayo uliyoyaona mayo yaliyopo na yatakayokuwa baada ya hayo


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa