Mtunzi: Shimbo Pastory, C.S.Sp.
> Mfahamu Zaidi Shimbo Pastory, C.S.Sp.
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Shimbo Pastory
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiMEZA YA BWANA
KIITIKIO: Meza ya Bwana ipo tayari sote tumealikwa twende tukampokee. x 2. Karamu yake ameendaa kwa ajili yetu, tujongee meza yake tumpokee Bwana. Tuzifungue nyoyo zetu akae na sisi sote, mapendo yake yabadili maisha yetu.
Mashairi:
1. Twende kwa imani tumpokee Bwana Yesu, afanye makazi yake ndani kwetu.
2. Atuponye na madhambi yetu, Bwana mwema atupe furaha na amani yake.
3. Tumtumikie vema akituongoza, tuwake mapendo yake siku zote.