Ingia / Jisajili

Kama Kristo Alivyokufa Akafufuka

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Richard Samson

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Marehemu Wote

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kama Kristo Alivyokufa Akafufuka, Vivyo hivyo na hao waliolala, Katika Kristo Mungu huwaleta pamoja naye x2.

1. Bwana uwajalie pumziko la Milele na mwanga wa milele uwaangazie Ee Bwana, wapendwa wetu wapumzike kwa amani.

2. Ee Mungu Ee Mungu wastahili kuimbiwa Sayuni, Wastahili kuimbiwa Sayuni.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa