Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C
INGEKUWA HERI LEO
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu x2
1. Njoni tumwimbie Bwana /tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu /
Tuje mbele zake kwa shukrani, tumfanyie shangwe kwa zaburi