Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 31 Mwaka C
EE MUNGU MFALME
Ee Mungu mfalme wangu, nitaltukuza jina lako, milele x2
1. Ee Mungu wangu mfalme nitakutukuza / nitalihimidi jina lako milele na milele /
Kila siku nitakuhimidi, nitalisifu jina lako milele na milele