Mtunzi: John Mgandu
                                         
 > Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu                 
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 20,621 | Umetazamwa mara 30,629
Download Nota Download Midi
	Ee Bwana, Ee Bwana utege sikio lako unijibu x 2
	Wewe uliye Mungu wangu, umwokoe mtumishi wako, mtumishi wako anayekutumaini x 2