Ingia / Jisajili

Tumaini Letu Mama Maria

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,326 | Umetazamwa mara 10,816

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tumaini letu Mama, Mama Maria, Tumaini letu Mama, ee Mama mwema ndiwe tumaini letu ewe Mama yetu Maria x 2

  1. Tuna tumaini kwako Mama yetu, tunakuja mbele yako, tunaleta maombi yetu kwako, ee Mama utusikilize, utusaidie sisi wanao.
     
  2. Hapa duniani kuna vishawishi vingi vinavyotusonga sana, tunashindwa tukiwa peke yetu, ee Mama utusaidie tuvishinde vishawishi vyote.
     
  3. Hapa duniani kuna kuna mambo mengi, yanayotutia giza, tunaomba utuangazie, ee Mama utuonyeshe njia iendayo kwa mwanao mbinguni. 

Maoni - Toa Maoni

Momburi Mar 09, 2020
safi kabisa

kieran zigilwa Jun 25, 2017
ni nzuri ila wapi tunaipata nyimbo yote maana hatuioni

stelah Oct 03, 2016
Nyimbo n nzuri

Toa Maoni yako hapa