Ingia / Jisajili

Bwana Anakuja

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 33 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA ANAKUJA

Bwana anakuja, (awahukumu mataifa, awahukumu mataifa kwa haki )x2

1. Mwimbeni Bwana zaburi kwa kinubi / Kwa kinubi na sauti ya zaburi/

     Kwa panda na sauti ya baragumu, shangilieni mbele za mfalme Bwana


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa