Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiULIMI WANGU UTAIMBA
Ulimi wangu, (utaimba haki yako, utaimba haki yako) X2
1. Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako/ Uyafute makosa yangu unioshe kabisa na uovu wangu,
unitakase dhambi zangu