Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiSHAMBANI MWA BWANA
Shambani mwa Bwana, mavuno ni mengi, watenda kazi ni wachache x2
Muombeni Bwana wa mavuno, apeleke wavunaji wengi, shambani x2
1. Shambani mwa Bwana, mavuno ni mengi, tumuombe Bwana apeleke wavunaji