Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiTWENDENI TUKATOE
Twendeni tukatoe sadaka zetu; Tumpe Mungu wetu shukrani zetu;
(Kwa mema mengi atutendeayo; Siku kwa siku na wiki kwa wiki; Tumshukuru kwa kutupenda) x2
1. Mkate divai twende tukatoe; Mazao ya nchi twende tukatoe