Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Melkior Ngooh
Umepakuliwa mara 691 | Umetazamwa mara 2,235
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ni Siku ya furaha kuu, ni utukufu wa Bwana. Ni
vigelegele na shangwe na nderemo ulimwengu mzima maana Yesu ameshinda mauti ili
kila amwaminiye awe na uzima wa milele awe na uzima wa milele.
Mashairi: