Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 13 Mwaka B
EE BWANA NITAKUTUKUZA
Ee Bwana nitakutukuza, (kwa maana umeniinua, kwa maana umeniinua) x2
1. Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua, wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu, umeniinua nafsi yangu Ee Bwana kutoka kuzimu, umenihuisha na kunitoa miongoni mwao washukao shimoni