Fadhili za Bwana

Mtunzi : John Mgandu

Category : Zaburi |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Tabora, tarehe Apr 29, 1991

Umetazamwa mara 4,747

PDF imekuwa downloaded mara 2,325

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Fadhili za Bwana nitaziimba milele, kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako x 2

  1. Maana nimesema, fadhili zitajengwa milele, katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
     
  2. Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe, Ee Bwana huenenda katika nuru ya uso wako. 
     
  3. Kwa jina lako nafurahi mchana kutwa na kwa haki yako hutukuzwa hutukuzwa.
     
  4. Maana fahari ya nguvu zao ni wewe na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 1

Girbelt mwombek

Nov 09,2017

Shukran!

Files alizo-upload:
smartphone.jpg