Bwana Asema Tazama

Mtunzi : John Mgandu

Category : Ekaristi / Komunio |

Uploaded Na : Lawrence Nyansago > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 3,212

PDF imekuwa downloaded mara 1,167

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Bwana asema, Tazama nasimama mlangoni na kubisha hodi x 2
Mtu akiisikia sauti yangu, na kufungua mlango
(nitaingia kwake nami nitakula pamoja naye na mimi pamoja nami) x 2
 

  1. Wale wanaoshinda nitawaketisha pamoja nami juu ya kiti changu cha enzi.
     
  2. Kama nilivyoshinda nikaketi na Baba juu ya kiti chake cha enzi.
     
  3. Nanyi nawawekea ninyi ufalme, kama vile Baba yangu alivyoniwekea mimi.
     
  4. Mpate kula na kunywa mezani pangu katika ufalme wangu, katika ufalme wangu.


Mtunzi huyu ana nyimbo 131 SMN

Maoni

Maoni 1

samson cleverson

Apr 09,2017

napenda sana sana wimbo wa "Bwana asema tazama" naomba kama kuna uwezekano mnirushie kwa whatsapp kwa namba yangu hiyo hapo juu..!