Aleluya Wewe Ndiwe Petro

Mtunzi : John Mgandu

Category : Zaburi |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Jun 11, 1983

Umetazamwa mara 2,093

PDF imekuwa downloaded mara 641

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Aleluya aleluya wewe ndiwe Petro aleluya x 2
Na juu ya huu mwamba, na juu ya huu mwamba, na juu ya huu mwamba, nitalijenga kanisa langu x 2

  1. Wala milango ya kuzimu haitalishinda aleluya.
     
  2. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni.
     
  3. Utakalolifunga duniani, litafungwa pia mbinguni. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 1

BONIFACE KAMWESIGILE

Jun 24,2016

Hongereni sana kwa kazi nzuri