Ingia / Jisajili

Yatupasa Kuona Fahari

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO;Lakini sisi yatupasa kuona fahari juu ya msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo,

1.ambaye ndani yake mna wokovu, uzima na ufufuko wetu,.

2.nasi tumepata kuokolewa na kukombolewa naye.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa