Ingia / Jisajili

Wewe Ndiwe Mkate

Mtunzi: Filbert Munywambele (Fimu)
> Tazama Nyimbo nyingine za Filbert Munywambele (Fimu)

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Basil Tumaini

Umepakuliwa mara 1,367 | Umetazamwa mara 3,924

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

WEWE NDIWE MKATE

Na Filbert Munywambele

Kiitikio:

Wewe ndiwe mkate wa mbinguni,

Uliyeshuka kwa ajili yetu;

Utulishe wenye njaa

Utunyweshe wenye kiu. X 2

Mashairi:

1.    Wewe ndiwe njia, tutakufuata; Wewe ndiwe njia ya kwenda mbinguni.

2.    Wewe ni uzima, sisi tu wagonjwa; twakujia Kristu, utuponye Bwana.

3.    Ee Mchungaji mwema, tunakutambua; uliyejitoa, kwa ajili yetu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa