Mtunzi: Antony Jonas Homange
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gerald Mussa
Umepakuliwa mara 590 | Umetazamwa mara 2,014
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Wakati umefika,wakati umefika kumpokea mwokozi. x2 watu wote tusimame na twende,tukampokee mwokozi,yeye ndiye chakula cha uzima twende mbele za Bwana kama tunastahili twende mbele zake,kama hatustahili twaila hukumu.