Ingia / Jisajili

Uipokee

Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 51,604 | Umetazamwa mara 73,180

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Uipokee sadaka, Ee Bwana Mungu tusikie, Bwana uipokee kwa wema, Ee Bwana Munguu wetu x 2 

  1. Twakutolea sadaka ya ibada yetu, ikupendeza zitupatie wokovu.
     
  2. Ee Bwana usikiliza sala zetu, tunazokutolea Bwana Mungu wetu.
     
  3. Ututakase kwa nguvu ya sadaka hii, natupate maondoleo ya dhambi zetu.
     
  4. Ni nani aliye Mungu ila wewe Bwana, na utukuzwe Mungu wa wokovu wetu

*MUHIMU: Mabadiliko yamefanyika kutoka kutumia neno "uzipokee" kwenda "uipokee", kwa kuwa sadaka inayotolewa kwenye ibada ya Misa takatifu ni moja tu.*


Maoni - Toa Maoni

Thomas N. Shetui Mar 14, 2018
Naona kuna makosa ya kunakili wimbo. Kama sauti ya kwanza kwenye Bwana pale baada ya tusikie badala ya quarter notes ni half notes.

ADOLF SHUNDU Feb 05, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

raymond augustino Mar 18, 2017
Naomba kupata wimbo kamili "uzipokee sadaka" na sio tune tu nimeutafuta sana huu wimbo bila mafanikio.

LUCAS MLINGI Nov 14, 2016
sorry sikutaja wimbo nilifikiri automatic unakuja ni Uzipokee ya Syote asante sana

LUCAS MLINGI Nov 14, 2016
Wimbo umenakiliwa kwa makosa maneno tu pale sauti ya tatu wanaposema sadaka zetu Bwana neno Bwana' lianze kwenye DO RE natumaini nimeeleweka

Mpinguhi Jun 30, 2016
nashukuru na kuwapongeza kwa utume mnaoufanya. maoni yangu ni kwamba ingependeza zaidi kama ikiwekwa link ambayo imezipanga nyimbo kadiri ya idadi ya watu wanaozitazama nyimbo hizo kwenye makundi yao(mf. sadaka, komunio...) asanteni

Moïse Kasisi May 21, 2016
Hiyi ni kazi nzuri sana.Juhudi na bidii kwa watungaji wa nyimbo hizi.

Apr 21, 2016
Jamani mngetuwekea na nyimbo kabisa ingependeza

Toa Maoni yako hapa