Ingia / Jisajili

Uwape Amani Wakungojao

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 13

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Ee Bwana uwape amani wakungojao wakungojao X2

Na usikilize usikilize sala za watumishi wako ukatuongoze kwenye njia ya haki X2

1. Ee Bwana Mungu wa watu wote utuokoe uangalie uwatishe mataifa yote na kuwaonesha nguvu zako zilizo kuu

2. Kama vile ulivyojitakasa mbele yetu kati yao vivyo hivyo ujitukuze ujitukuze kati yao mbele yetu

3. Nao wakujue wewe kama sisi tukujuavyo ya kwamba hakuna Mungu ila wewe hakuna Mungu ila wewe peke yako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa