Ingia / Jisajili

Utuombee Sisi Wakosefu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 4

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Maria Mtakatifu Mama wa Mungu utuombee (sisi) utuombee (sisi) utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu X2

1. Tunaukimbilia ulinzi wako Mama uliye mzazi mtakatifu wa Mungu

2. Usitunyime Mama usitunyime Mama tukiomba katika shida zetu katika shida zetu

3. Utuokoe Mama utuokoe sisi siku zote kila tuingiapo hatarini


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa