Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 40
Download Nota Download MidiUtukufu, sifa na heshima, kwako ewe Kristo Mfalme mkombozi, ndiwe uliyeimbiwa hosana nawatoto wamayahudi.×2
1..Wewe ndiwe Mfalme wa israeli, Mwana Mtukufu wa daudi, Ewe Mfalme mbarikiwa unayekuja, kwa jina jina la Bwana.
2..Jeshi zima la malaika, lakusifu juu mbinguni, pamoja na binadamu naviumbe vyote, viumbe vya ulimwengu.
3..Wayahudi walikulaki, nasi twakujia kwa sala, maombi nanyimbo tukikudhangilia Ewe Mfalme wa israeli.