Mtunzi: Kayombo CW
> Mfahamu Zaidi Kayombo CW
> Tazama Nyimbo nyingine za Kayombo CW
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: cosmas kayombo
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiUTAMPENDA (Maalum"Ndoa ya Keneth&Maula")
1.(a) Utampenda ......(maula) kwa moyo wako wote utamlinda tena utamthamini maisha yako yote
(b) Utamheshimu......(Keneth) kwa moyo wako wote utamtunza tena utamthamini maisha yako yote. Aheeeee...
Kiitikio: Aheee mliahidiana sirini sasa yametimia tumshukuru Mungu wetu amebariki pendo lenu; si wachumba bali wanandoa kweli inapendeza malaika wanafurahi kuhitimisha agano lenu x2
2. Mdumishe upendo msamaha iwe nyenzo ya kutunza penzi lenu, mfanyike baraka msipate mashaka Bwana Yesu yu karibu nanyi .Aheee.....
3. Sisi tumeshuhudia ndoa yao imefungwa(keneth na maula) si wasili tena, siku yao ni njema kaamwe asiwepo kikwazo katikati ya safari yao. Aheeee...