Mtunzi: Julius Gotta
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Gotta
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Julius Marco Gotta
Umepakuliwa mara 73 | Umetazamwa mara 140
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Marehemu Wote
Kiitikio
Upokelewe Mbinguni kwenye makao, (kwenye) makao ya Bwana, uishi mi–lele.
Mabeti.
1. Umetuacha wapendwa wako, tutakukumbuka daima.
2. Tunakuombe kwa Mungu Baba, akusamehe makosa Yako.
3. Ohoo! Twahuzunika kukukosa maisha, kwa heri ndugu ye–tu.x2