Mtunzi: Unknown
> Tazama Nyimbo nyingine za Unknown
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 331 | Umetazamwa mara 1,259
Download Nota Download MidiASANTE KWA MAPAJI
Twasema Asante sana Mungu wetu kwa mapaji yako unayotujalia Asante ...x2
1. Kwa mapaji yako yote unayotujalia tunakushukuru Asante
2. Pia nayo yote Afya unayotujalia tunakushukuru asante