Mtunzi: Guillaume Kibo
Makundi Nyimbo: Misa | Zaburi
Umepakiwa na: Kam's Swana
Umepakuliwa mara 170 | Umetazamwa mara 591
Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio
Uniponye roho yangu kwani nimekukosea Bwana Mungu
1. Heri mtu amkumbukaye mtu zaifu, Siku ya shida Bwana atamwokowa
2. Bwana atamlinda na kumtunzia uzima, atamjalia kuwa na heri.