Mtunzi: C.J.MALIGISU
> Mfahamu Zaidi C.J.MALIGISU
> Tazama Nyimbo nyingine za C.J.MALIGISU
Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Mazishi
Umepakiwa na: JOSEPH CLEMENT
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiUMPOKEE PAPA FRANCISCO
Mungu Baba tunakuomba umpokee mtumishi wako Baba yetu papa Francisco x 2
1.Umpokee mtumishi wako Baba yetu Fransisco Kwenye nuru ya uso wako
2.Umrehem mtumishi wako Baba yetu Fransisco Apumzike Kwa Amani.