Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Steven Kiteve
Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 8
Download Nota Download MidiUhimidiwe Ee Bwana, ukuu wako machoni pa watu umeenea.
Umetujalia afya njema, asante sana. umetupatia pumzi (uzima mpya) asante sana.