Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Cylirus Kaijage
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiTunakimbilia ulinzi wako bikira maria, mama wa Mungu na mama yetu.
Usitunyime katika shida zetu, maombi yetu pamoja na sala zetu, zifikishe kwa mwanao Yesu.