Mtunzi: Sisco s manyama
> Mfahamu Zaidi Sisco s manyama
> Tazama Nyimbo nyingine za Sisco s manyama
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Sisco s Manyama
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 2
Download NotaTwende na sadaka zetu twende tukamtolee bwana, vyote ni mali yake ×2 (haya) inukeni enyi wakristo njoni tupeleke sadaka zetu (kwake bwana) kwani vyote tulivyonavyo tumevipata kwa wema wake kwani bwana atapokea, atavibariki.(Haya ndugu).
1.Twende na sadaka safi, sadaka safi, sadaka safi ya kumpendeza Mungu.
2.Haya hima waumini, twende tukatoe sadaka safi ya kumpendeza Mungu.
3.Tuandamane pamoja, tukatoe sadaka, sadaka safi yakumpendeza Mungu.