Ingia / Jisajili

Tazama Bikira Atachukua Mimba

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,468 | Umetazamwa mara 4,945

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

TAZAMA BIKIRA ATACHUKUA MIMBA

Tazama, tazama bikira atachukua mimba;
//:naye atazaa mtoto (mtoto) mtoto mwanaume, naye atamwita jina, jina lake Immanuel://

1. Tengenezeni njia, njia ya Bwana, yanyoosheni mapito, mapito ya Bwana.

2. Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, utukufu ukae katika nchi yetu.

3. Kila bonde litajazwa, milima itashushwa, palipopotoka patakuwa pamenyoshwa.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa