Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 16
Download Nota Download MidiSASA NAENDA
Sasa naenda - kuwatayarishieni nafasi, nami nitarudi kuwachukueni, (ili nanyi muwe, pale nilipo mimi, Aleluya aleluya)x2
1. Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi