Ingia / Jisajili

Sadaka Yangu Ee Bwana

Mtunzi: Fr. Amadeus Kauki
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Amadeus Kauki

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 53,593 | Umetazamwa mara 81,593

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Ernest HAMENYIMANA Nov 02, 2021
Wimbo mzuli sana

Anthony May 29, 2021
Wimbo una vionjo vizuri ukiimbwa kwa Ushirikiano

Victoria salome May 21, 2021
Muzuli Sana

Zephrine Domician Lufurano Jul 12, 2019
Tumsifu Yesu Kristo..! Wimbo huu 'Sadaka yangu ee Bwana' umebeba ujumbe mzito wa tafakari. Muafaka wake umepangwa na kupangika na unavutia kuuusikiliza na pamoja na kukubalika na kuimbika sehemu nyingi za Tanzania, bado hauna dalili ya kuchuja! Nadhani, Fr. Amadeus Kauki, huenda uliongozwa na Roho Mtakatifu ambaye ni mtoa vipaji/karama katika kutunga wimbo huu! Hongera Fr. kwa utunzi wako huo. Samahani kwa kuandika maelezo mengi, hii ni kwa sababu nilikosa muhutasari unaotosha kuelezea utaalam huu! Kristo..!

Zephrine Domician Lufurano Jul 12, 2019
Tumsifu Yesu Kristo..! Wimbo huu 'Sadaka yangu ee Bwana' umebeba ujumbe mzito wa tafakari. Muafaka wake umepangwa na kupangika na unavutia kuuusikiliza na pamoja na kukubalika na kuimbika sehemu nyingi za Tanzania, kama hauchuji. Nadhani, Fr. Amadeus Kauki, huenda uliongozwa na Roho Mtakatifu ambaye ndiye mtoa vipaji/karama katika kutunga wimbo huu! Hongera Fr. kwa utunzi wako huo. Smahani kwa kuandika maelezo mengi, hii ni kwa sababu nilikosa muhutasari wa unaotosha utaalam huu! Kristo..!

John Nestory Feb 10, 2019
Hongera Fr.Kauki,utunzi mzuri

deogrtias. mtambo Dec 08, 2018
wimbo upo vizuri. hongera fr. .

Alaska sixtus Mtanda Aug 16, 2018
tumsifu yesu kristo.... .wimbo ni mzuri unainjilisha

Jerrlyn shayo Jun 24, 2018
Kristu... Tumaini letu napenda sana hii nyimbo mtunzi abarikiwe kwa kweli.... Amina

SAJILO JULIUS MARK Sep 13, 2017
Napenda sana nyimbo zilizopo kwenye wavuti huu inatia moyo sana kwamba tuna wanamziki wengi Tanzania Mungu awabariki sana.

Bakari Simeon. Aug 18, 2017
Wimbo mzuri kuanzia melody mpaka Maneno yake. Abarikiwe sana mtunzi

Charles Nachipyangu Aug 14, 2017
Fr.Uko Juu,mtwara Yote Inalindima Kwa Wimbo Wako Huu.Msalimie Fr.Charles Nachinguru~wajina Na Ndugu Yangu.Asante Sana!

nicolaus shabate phd May 03, 2017
tumaini letu .............{...kristu...} nampongeza mtunzi wa wimbo huu pia namwombea kwa mwenyez mungu aendelee na utume maana anayeimba ni sawa umesali mara mbili pia wimbo huu nakumbukia wakati napata komnyo ya kwanza mwaka 2002 ktk parokia ya mt abate mungu amjalie maisha marefu kwa mawasiliano 0782791709/ 0767418456

Audrey Didas Jan 13, 2017
Wimbo ni mzuri sana ... Mungu akubariki Fr

Frateri Filipo Rao Oct 19, 2016
Nakupongeza kwa utunzi mzuri

Aureliano Masawe Jun 19, 2016
Naombeni mnisaidie kupata nota za wimbo huu

Toa Maoni yako hapa