Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Stephen Kagama
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiSehemu ya pato langu ulilonijalia naleta sadaka ya unyonge wangu kwako Ee Mungu wangu ( ikupendeze Bwana uibariki uitakase iwe safi kama ile ya Abeli mtumishi wako X 2)
1.Naileta kwa moyo wote uipokee kwani vyote nilivyonavyo ni mali yako.
2.Unazibariki kazi zangu zamikono yangu pokea baba sehemu ya pato langu.
3.Nakutolea moyo wangu ulioradhi sadaka ya dhati kwako Ee Mungu wangu.