Ingia / Jisajili

Rudisheni Talanta Zenu

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                      RUDISHENI TALANTA ZENU

Rudisheni talanta zenu, rudisheni talanta ze-nu, rudisheni talanta zenu, rudisheni talanta zenu, rudisheni talanta zenu kwa Bwana ...x2

kama wale wawili walivyorudisha talanta zao na faida, rudisheni talanta zenu, rudisheni talanta zenu kwa Bwana ...x2

1) Mara yule mwenye tlanta tano akaenda akafanya biashara nazo akachuma faida talanta nyingine tano.

2) Bwana wake akamwambia vema mtumishi mwema na mwaminifu uliyekuwa mwamionifu kwa machache

      nitakuweka juu ya mengi, ingia katika furaha ya Bwana wako.

3)Vile vile mwenye talanta talanta mbili, yeye naye akachuma nyingine akachuma nyingine nyingine mbili ya faida.

4)Lakini aliyepokea talanta moja alikwenda akafukia chini akaificha fedha ya Bwana wake..

                                                                                                         AU

1)Rudisheni talanta zenu kwa Mungu wenutalamnta mlizo pewa na Mungu, rudisheni talanta na faida yake.

2)Tutoe sadaka iliyo safi, isiyo na doa sadaka ya kumpendeza Mungu, tukatoe kwa Moyo tutabarikiwa.

3) Unapotoa sakaka yako unajiwekea unajiwekea hazina yako itakapokuwapo Roho yako Mbinguni.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa