Ingia / Jisajili

Roho Yangu Inakuonea Kiu

Mtunzi: Stephen Nguu
> Mfahamu Zaidi Stephen Nguu
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Nguu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Nguu

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

ROHO YANGU INAKUONEA KIU

(Roho yangu inakuonea kiu,Ee Bwana Mungu Wangu)*2

1.Ee Mungu,Mungu wangu,nitakutafuta kwa dhati,Roho yangu inakuonea kiu,mwili wangu unakuonea shauku,katika nchi kavu yenye kiu isiyo na maji.

2.Hivyo nili,kutazama,ka-tika patakatifu,nione,enzi yako na utukufu wako,fadhili zako ni bora kuliko maisha,kwa hiyo midomo yangu itakutukuza.

3.Nitakusifu pindi ni-i-i-i-i-i-ishipo,kwa jina lako nitainua mi-i-ko-no yangu,Roho yangu inafurahi kama kwa kushiba,kwa kushiba mafuta na vinono.

4.Ninapokukumbuka kitandani mwangu,vipindi vyote vya usiku ninakufikiria wewe,kwa maana umekuwa msaada wangu,na uvulini wa mbawa zako nitashangilia


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa