Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 12
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka C
Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu x2. Maneno hayo niliyowaambia ni roho tena ni uzima x2