Mtunzi: John Mgandu
                                         
 > Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu                 
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 11,283 | Umetazamwa mara 20,312
Download Nota Download Midi
	Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, (mbele ya) mbele ya miungu nitakuimbia zaburi x 2
	Nitakusujudu nikilikabili hekalu lako takatifu nitalishukuru jina lako x 2