Ingia / Jisajili

Ninaingia Kwako

Mtunzi: Dr. David Nyambane Mogaka
> Mfahamu Zaidi Dr. David Nyambane Mogaka

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: David Mogaka

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 20

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ninaingia kwako ee bwana Mungu wangu, nabisha mlangoni baba nifungulie x2 unipokee baba mimi ni mkosefu unisafishe baba na unipe baraka x2

1. Akina mama  twende nyumbani mwake bwana, atawapa amani na atawabariki

2. Wazee wote  twende nyumbani mwake bwana, atawapa amani na atawabariki

3. Vijana wote  twende nyumbani mwake bwana, atawapa hekima na atawabariki

4. Watoto wote  twende nyumbani mwake bwana, atawapa hekima na atawabariki


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa