Ingia / Jisajili

Nimeona Maji Yakitoka Hekaluni

Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe

Makundi Nyimbo: Ubatizo

Umepakiwa na: Reuben Maghembe

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 4

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

 

Chorus

Nimeona maji yakitoka hekaluni,

Nimeona maji yakitoka hekaluni.

Maji yenye uzima,

Maji ya uzima.

 

Verse 1

Leo nimeoona maji,

Maji ya uzima.

Maji yatokayo hekaluni,

Nimeona maji yakitoka hekaluni.

 

Verse 2

Bwana Yesu alisema,

Yule anywaye maji ya uzima,

Hatakuwa na kiu tena,

Maana ni maji ya uzima.

 

Verse 3

Maji yatakasayo roho,

Kwa wote wenye dhambi,

Ndiye Yesu Kristo,

Chanzo cha maji ya uzima.

 

Verse 4

Bwana Yesu alisema,

“Njoo unywe bila gharama”,

Maji ya uzima milele,

Yatiririka ulimwenguni.

 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa