Mtunzi: JIYENZE MARCO / DO SO
> Mfahamu Zaidi JIYENZE MARCO / DO SO
> Tazama Nyimbo nyingine za JIYENZE MARCO / DO SO
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: JIYENZE MARCO
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 22
Download NotaNimekuchagua wewe uwe mke wangu nimependezwa nawe kuishi na wewe Nimekuchagua wewe uwe mume wangu nimependezwa nawe kuishina wewe na Leo ni siku yetu tunafunga ndoa yetu machoni pa watu Leo machoni pa MUNGU wetu Leo twathibitisha kwamba tunapendana * 2