Ingia / Jisajili

Ni Usiku Wa Manane

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 33 | Umetazamwa mara 46

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                                                NI USIKU WA MANANE

Ni usiku wa manane Bwana Yesu alipozaliwa ...x2

Nchi ilikaa kimya kimya kimya zilikaa kimya (kimya) kutafakari utukufu wa Bwana ...x2

1) Kwa ajili yetu amezaliwa pangoni Bethrhemu

2) Mtoto mwanaume mwenye uweza wa kifalme mabegani mwake

3) Naye ataitwa ji-na lake, mshauri wa ajabu

4) Malaika wanaimba nyimbo nyimbo nzuri za shangwe

5) Amelazwa mnyonge na mkiwa kwenye hori la kulishia ng`ombe

6) Yosefu na Mariamu mamaye wamtunza mtoto yesu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa