Ingia / Jisajili

Ni Neno Jema Kumshukuru Mungu

Mtunzi: Elias William Mtemi (Ewimu)
> Mfahamu Zaidi Elias William Mtemi (Ewimu)
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias William Mtemi (Ewimu)

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Elias William Mtemi (Ewimu)

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

Nineno jema kumshukuru Bwana jina lake x2

1.Mwenye haki atastawi, kama mtende atakuwa kama mwelezi wa rebanoni.

2.Waliopandwa katika nyumba ya Bwana watastawi katika nyua za Mungu wetu, watazaa matunda hadi wakati wa usiku


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa