Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa Kwa Kelele Za Shangwe

Mtunzi: S. Mkude

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,318 | Umetazamwa mara 8,769

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu amepaa amepaa kwa kelele za shangwe Bwana amepaa kwa sauti ya baragumu

1.       Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kelele za shangwe kwa kuwa Bwana aliya juu ni mwenye kuogofya ndiye Mfalme mkuu juu ya Dunia yote

2.       Mungu amepaa kwa kelele za shangwe Bwana kwa sauti ya Baragumu, mwimbieni Mungu naam imbeni mwimbieni Mfalme wenu naam imbeni

3.       Maana Mungu ndiye Mfalme wa dunia yote imbeni kwa akili Mungu wamiliki mataifa Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa