Ingia / Jisajili

Mshukuruni Bwana

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 2,935 | Umetazamwa mara 3,277

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Katikati Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Katikati Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele X2

1. Washukao baharini katika merikebu wafanyao kazi yao katika maji mengi hao huziona kazi za Bwana na maajabu yake vilindini

2. Maana husema akavumisha upepo na dhoruba ukayainua juu mawimbi yake wapanda mbinguni wateremka vilindini nafsi yao yayeyuka kwa hali mbaya

3. Wakamlilia Bwana wakamlilia katika dhiki zao akawaponya na shida zao hutuliza dhoruba ikawa shwari mawimbi yake yakanyamaza

Maoni - Toa Maoni

Marc T Apr 02, 2024
Nashangaa mnazid kupakia nyimbo mara mbilmbil kwan inakuaje copy kama ipo ukirudia kuicopy kwann usitoe ya kwanza kwann ziwe mingi bila sabab sasa tushike lipi na mtunz ni mmoja? Mnatumia sheria gan kuchora upya na kuupload?

Allan Paull Feb 11, 2024
wimbo mzuri sana huu nimeupenda sana

Toa Maoni yako hapa